Shop

Maziwa ya akili - CSSA Junior

eBook (PDF), 267 Pages
This item has not been rated yet
Price: $7.70
Kutokana na ongezekola orodha ya ndugu vijana (katika kweli) wa kike na wakiume nchini Tanzania imebainika (imeonekana wazi) kwamba wanahitaji mwongozo. Kila andiko linapumzi ya mungu linaweza kutuhekimisha katika wokovu, ndivyo alivyo andika mtume. Kuna wengi wanaopenda kufundisha lakini, hadi sasa, kuna wachache walio na ufahamu kumaliza kazi hii. Kwa msaada wa masomo haya inatumainiwa kwamba ufundishaji unaweza kuanza na kwamba ndugu zetu wa naume na wanawake na wataanza kukua katika maarifa na imani. Kozi hii yenye hatua Nne za mafundisho ya Biblia imetayarishwa kutuchukuwa kikamilifu katika ukweli wote wa maandiko. Kila moja ya hatua tatu za mwanzo ina masomo mia moja na ishirini na tano, yameundwa kwa kukusanya pamoja na vidokezo vya maana vya Historia ya Biblia inavyotiririka na kujifunua. Hatua ya nne ina masomo 1189 kila moja likifungamana na sura yote ya Biblia.
Available in PDF Format

Ratings & Reviews

Log in to review this item
Lulu Sales Rank: 307767
There are no reviews for the current version of this product
Refreshing...
There are no reviews for previous versions of this product
Refreshing...

Product Details

Edition
First Edition
Publisher
CBM Publishing
Published
September 28, 2011
Language
Swahili
Pages
267
File Format
PDF
File Size
6.82 MB
Product ID
17368561

Formats for this Ebook

PDF
Required Software Any PDF Reader, Apple Preview
Supported Devices Windows PC/PocketPC, Mac OS, Linux OS, Apple iPhone/iPod Touch... (See More)
# of Devices Unlimited
Flowing Text / Pages Pages
Printable? Yes
Report This Content to Lulu >

Moderation of Questionable Content

Thank you for your interest in helping us moderate questionable content on Lulu. If you need assistance with an order or the publishing process, please contact our support team directly.

How does this content violate the Lulu Membership Agreement?

Keywords

Listed In

More From Carl Hinton