Shop

Ratings & Reviews

Log in to review this item
Lulu Sales Rank: 302593
1 Person Reviewed This Product
  • By maria nyiondo
    Apr 2, 2013
    KISWAHILI BIDHAA ADIMU - JIAJIRI ni kitabu muafaka kabisa kwa Watanzania ambao wana nia ya kukitumia Kiswahili kama bidhaa. Lugha yoyote ile inaweza kuwa bidhaa. Mfano mzuri ni bidhaa ya lugha ya Kiingereza ambayo imekamata uchumi wa nchi ambazo Kiingereza ndio lugha yao. Kwa hiyo, vivyo hivyo kama kilivyo Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kikorea, Kichina, Kijapani nk, Kiswahili pia kina nafasi kama hiyo. Mwandishi anatuelezea namna mbalimbali ambazo zinamwezesha mzawa wa lugha hii kujiajiri. Wazawa wameelezwa kinagaubaga wanawezaje kuitumia fursa hii kupitia katika kitabu hiki. Katika jamii hii ya wazawa wa lugha ya Kiswahili - watu wana maarifa na juzi (wingi wa ujuzi) mbalimbali ambazo kwa pamoja wanaweza kuzitumia kukiuza Kiswahili. Je ni kwa vipi mtu ambaye si mwanalugha na wala si mwanasarufi atawezaje kukiuza Kiswahili? Majibu ya swali hili na maswali mengi ambayo unaweza kujiuliza yameelezwa katika kitabu hiki.
Refreshing...
There are no reviews for previous versions of this product
Refreshing...

Product Details

ISBN
9781300840183
Published
March 15, 2013
Language
Swahili
Pages
31
Binding
Hardcover (casewrap)
Interior Ink
Black & white
Weight
0.29 lbs.
Dimensions (inches)
6 wide x 9 tall
Product ID
20918949
Report This Content to Lulu >

Moderation of Questionable Content

Thank you for your interest in helping us moderate questionable content on Lulu. If you need assistance with an order or the publishing process, please contact our support team directly.

How does this content violate the Lulu Membership Agreement?