WANAWAKE WAPENZI ni riwaya inayoonesha harakati za wanawake kujikomboa: kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni. Je mwandishi anawaambia jambo gani wanawake wa Tanzania? Kwa nini riwaya hii aiite 'WANAWAKE WAPENZI' na sio jina tofauti na hilo? Majibu ya maswali haya yanapatikana ndani ya riwaya hii. Soma ufahamu mwandishi anachowausia wanawake wa Kitanzania.
Details
- Publication Date
- Mar 25, 2013
- Language
- Swahili
- ISBN
- 9781300874140
- Category
- Fiction
- Copyright
- All Rights Reserved - Standard Copyright License
- Contributors
- By (author): elizabeth mahenge
Specifications
- Pages
- 59
- Binding
- Linen Wrap
- Interior Color
- Black & White
- Dimensions
- US Trade (6 x 9 in / 152 x 229 mm)