Lulu Marketplace

SEMI KOLONI

eBook (ePub)
(1 Ratings)
SEMI KOLONI
Preview
Price: $2.10
Download immediately.
Uhitaji na kushinikizwa na matamanio na matarajio ya watu wengine zinatubabaisha sisi wasanii, hadi tunafanya kazi zetu kwa kupapia tu, kindakindaki, bila kubobea, kimfano wa ghafla bin vuu; ovyo bin ovyo – shaghlabaghla. Nimelitunga shairi hili kwa utungu* mwingi mno; na baada ya kulitunga nikabaini kuwa nimeyataja ndani yake hayo maudhui niliyoyataja hapa juu. Pengine wewe ni msanii, pengine pia kazi yako waifanya hali umetishika, na njaa au kingine chochote kile, hadi inatokea ovyo. Basi hili shairi litakusaidia kutamani kuifanya kwa kilindi, na kujasirika kufanya hivyo, kukumbana na changamoto, liwe liwalo – kwa maana utamu wake kazi hii upo hapo, na hamna haja ya kuula utamu nusu. Ule wote, na uwatolee watu waule wote. Basi. Amka. Usiwe mchoyo, lakini katu usikubali kushinikizwa na mtu yeyote.
Available in ePub Format

Ratings & Reviews

Log in to review this item
There are no reviews for the current version of this product
Refreshing...

> Find Reviews for Previous Versions

There are no reviews for previous versions of this product
Refreshing...

Product Details

ISBN
9781300833222
Edition
First Edition
Published
November 10, 2013
Language
Swahili
File Format
ePub
File Size
19.2 KB

Formats for this Ebook

ePub
Required Software Any ePub Reader
Supported Devices Windows PC/PocketPC, Mac OS, Linux OS, Apple iPhone/iPod Touch... (See More)
# of Devices Unlimited
Flowing Text / Pages Flowing Text
Printable? Yes
Report This Content to Lulu >

Moderation of Questionable Content

Thank you for your interest in helping us moderate questionable content on Lulu. If you need assistance with an order or the publishing process, please contact our support team directly.

How does this content violate the Lulu Membership Agreement?

Keywords

Listed In

More From Jake Breck