Shop

Ni Zamu yako Kufa.

eBook (PDF), 111 Pages
This item has not been rated yet
Price: $3.75
Kazi aliyokuwa ametumwa Arusha ilimfanya Mpelelezi hatari na makini Jacob Matata ahisi kuwa ilikuwa ni safari ya hatari, lakini hakudhani kuwa ingekuwa ni hatari kiasi hicho. Alipoweka tu mguu wake katika jiji hilo alipokelewa na harufu ya tofauti, si ile ya ubaridi wa Arusha, bali ya Mauti. Hivyo kila hatua aliyokuwa akijaribu kupiga ilizidi kumsogeza jirani zaidi na kifo. Mbaya zaidi ni pale alipoambiwa kuwa ZAMU YAKE YA KUFA ilikuwa imefika. Hapo ndipo ilimbidi kupambana na genge la kutisha na lililosheheni sumu ya mauti. Jacob Matata alipigania kila tone la hewa aliyokuwa akiivuta katika mji wa Arusha. Hali ya ujanja, utaalamu wa kupigana na utumiaji wa silaha wa hali ya juu inatawala huku pande zote zikihitaji ushindi. Ukisoma riwaya hii utajua kuwa, kuna mtu mwenye kipaji cha kutumia kalamu, meza na karatasi katika kuwapa wapenzi wa riwaya kile nafsi zao zinataka. Riwaya nyingine za Japhet S. Nyang’oro ni kama MKONO WA SHETANI, BEI HALALI NI KIFO CHAKO na HARUFU YA MAUTI.... More > Zitafute!< Less
Available in PDF Format

Ratings & Reviews

Log in to review this item
There are no reviews for the current version of this product
Refreshing...
There are no reviews for previous versions of this product
Refreshing...

Product Details

Edition
First Edition
Publisher
Japhet Nyang'oro
Published
September 30, 2011
Language
Swahili
Pages
111
File Format
PDF
File Size
584.11 KB
Product ID
17524405

Formats for this Ebook

PDF
Required Software Any PDF Reader, Apple Preview
Supported Devices Windows PC/PocketPC, Mac OS, Linux OS, Apple iPhone/iPod Touch... (See More)
# of Devices Unlimited
Flowing Text / Pages Pages
Printable? Yes
Report This Content to Lulu >

Moderation of Questionable Content

Thank you for your interest in helping us moderate questionable content on Lulu. If you need assistance with an order or the publishing process, please contact our support team directly.

How does this content violate the Lulu Membership Agreement?

Keywords

Listed In

More From Japhet Nyang'oro