Search Results: ''

Search

×
×
×
×
1 results for ""
Kati Ya Haki Na Kisasi By Geofrey Benardi
eBook (ePub): $2.16
KATI YA HAKI NA KISASI (Swahili Edition) is a political and crime thrill novel written in Swahili to portray, how economic powerful minorities influence top political figures to misuse national... More > economic resources in the interests of the few in developing countries. However, some patriotic individuals never go silence as they tend to realize it. Things go as follow……… Kachero Bruno Maliego Hamza ni kijana stadi na mwenye weledi wa hali ya juu katika nyanja ya kipolisi. Akitokea nchini Urusi, anayaanza maisha yake mapya nchini Tanzania katika jiji machachari la Dar es Salaam, akihudumu kwa muda mfupi tu kabla ya kubadilishiwa kituo cha kazi na kuhamia katika jiji la Arusha. Akihudumu kama mchunguzi mwandamizi makao makuu ya kipolisi jijini Arusha, kachero Bruno anajikuta katika kisa kizito cha kutekwa kwa mjukuu wa kigogo mmoja mkubwa serikalini. Hatua hii inampelekea Bruno kuanza uchunguzi mara moja, hatimaye anagundua njama nyingine inayomtia matatizoni dhidi rubaa za usalama.< Less

Top 10

see more >
 
 
 
 
 
 
 
6
Birth Log Book Birth Log Book By Emily Rumsey
Paperback: $20.00