Search Results: 'Elimu'

Search

×
×
×
×
11 results for "Elimu"
elimu rekodi katika kujenga mlima kufanya maziwa By Robert Aaron
eBook (PDF): $279.87 (excl. taxes)
Download immediately.
rekodi
CHANGAMOTO Insha za Jamii By Joseph Mbele
Paperback: $13.00 (excl. taxes)
Ships in 3-5 business days
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa insha nilizoandika mwaka 2009 na kuzichapisha katika gazeti la KWANZA JAMII. Vile vile kuna mahojiano niliyofanyiwa na blogu ya Bongo Celebrity, mwaka 2008. Kwa ujumla,... More > yaliyomo ni mawazo kuhusu masuala mbali mbali ya uchumi, siasa, jamii, na utamaduni yanayoihusu Tanzania na dunia kwa ujumla,< Less
Mauaji ya Albino, Ujinga na Upotoshwaji wa Kiroho By Kamala J Lutatinisibwa
Paperback: $22.40 (excl. taxes)
Ships in 3-5 business days
this book describes the main root cause of people with albinism in Tanzania where repigious leaders seem totake a bigger part./ kitabu hiki kinahusu mauaji ya watu wenye ulemavu wangozi -- maalbino... More > ambapo viongozi wa dini wanaonekana kuwa chanzo muhimu lakini pia ukosefu wa elimu unahusishwa. soma mwenyewe karibuni< Less
Mauaji ya Albino, Ujinga na Upotoshwaji wa Kiroho By Kamala J Lutatinisibwa
eBook (PDF): $5.00 (excl. taxes)
Download immediately.
this book describes the main root cause of people with albinism in Tanzania where repigious leaders seem totake a bigger part./ kitabu hiki kinahusu mauaji ya watu wenye ulemavu wangozi -- maalbino... More > ambapo viongozi wa dini wanaonekana kuwa chanzo muhimu lakini pia ukosefu wa elimu unahusishwa. soma mwenyewe karibuni< Less
Kanuni ya kwanza By CBM Hinton
Paperback: $7.58 (excl. taxes)
Ships in 3-5 business days
Kwanza Wakristadelphia huamini katika mambo yanayohusu Ufalme wa Mungu na yanayohusu Jina la Bwana Yesu Kristo. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa vitabu vingi vilivyowekwa pamoja ambavyo hapo mwanzo... More > ilikuwa ni idadi ya vitabu na kila kimoja kilikuwa peke yake. Vimeunganishwa pamoja ili kumwezesha msomaji kupata ufahamu mkubwa wa kanuni ya kwanza ya imani ya Wakristaelphia. Kitabu hiki hakielezei mambo yote tunayoyaamini,hata hivyo tunatumaini kuwa yale yaliyomo yatakuimalisha kuweza kuwa na nia ya kujiunga na kundi la waumini.Kwa hiyo kitabu hiki ni kazi ya waandishi wengi na watafsiri wengi ambao kwa wingi wao hatuwezi kutaja majina yao yote hapa. Licha ya kuwa kitabu hiki ni marudio kamili kabisa ya toleo jipya la vitabu vidogo ambavyo vimekwishapita kabla, kuna uwezekano kuna baadhi ya makosa ya herufi na makosa ya usanifu wa maneno katika kitabu. Hii ni kwa sababu kitabu hiki kimeandikwa na watu ambao walifundishwa elimu ya dini, lakini hakikuandikwa na watu ambao walipata elimu ya lugha ya kishwahili.< Less
Kanuni ya kwanza By CBM Hinton
eBook (PDF): $1.05 (excl. taxes)

Ujenzi wa Jamii Isiyokuwa na Mauaji By Glenn D. Paige
Paperback: $5.76 (excl. taxes)
Ships in 3-5 business days
Kitabu hiki kimetolewa kwanza kwa ajili ya wataalamu wa siasa, wahadhiri na wanafunzi wa Vyuo Vikuu kwa uchambuzi zaidi na maoni. Leo, imani potofu kwamba mauaji ni jambo la kawaida kwa mwanadamu... More > inakubaliwa ulimwenguni kote licha ya umri na kiwango cha elimu cha mtu.Tunategemea kwamba wasomaji watajiunga na chama cha watu wanaohoji imani hiyo potofu na kuchangia kimawazo na pia kwa matendo kujenga misingi ya ulimwengu mpya usiyo na mauaji.< Less
Ujenzi wa Jamii Isiyokuwa na Mauaji By Glenn D. Paige
eBook (PDF): $0.00
Download immediately.
Kitabu hiki kimetolewa kwanza kwa ajili ya wataalamu wa siasa, wahadhiri na wanafunzi wa Vyuo Vikuu kwa uchambuzi zaidi na maoni. Leo, imani potofu kwamba mauaji ni jambo la kawaida kwa mwanadamu... More > inakubaliwa ulimwenguni kote licha ya umri na kiwango cha elimu cha mtu.Tunategemea kwamba wasomaji watajiunga na chama cha watu wanaohoji imani hiyo potofu na kuchangia kimawazo na pia kwa matendo kujenga misingi ya ulimwengu mpya usiyo na mauaji.< Less
NIACHE NISOME By elizabeth mahenge
Paperback: $15.00 (excl. taxes)
Ships in 3-5 business days
Tamthiliya hii inayoitwa NIACHE NISOME inatokana na juhudi za Mkuu wa Wilaya ya Handeni Ndugu Rweyemamu: kuanzisha kampeni dhidi ya vitendo vinavyosababisha watoto wa kike washindwe kumaliza masomo... More > yao. Ni kampeni nzuri sana kwa kuwa inawafanya wanafunzi, wazazi na wanajamii kwa ujumla watambue umuhimu wa elimu kwa watoto wote. Mwandishi anafanikiwa kuwaumba wahusika na kuwapa uhusika mbalimbali. Katika kisa hiki, binti anapewa mimba na mwanaume mmoja. Kesi inafunguliwa mahakamani na mwanaume huyo anakataa mashitaka yanayomkabili. Baada ya kukataa mashitaka hayo: binti anatoa ushahidi wake dhidi ya mwanaume huyo. Hatimaye mwanaume huyu anapatikana na hatia na hivyo kutumikia kifungo. Je ni ushahidi gani ambao binti huyu anautoa? Je mwanaume huyu aliyempa mimba mwanafunzi anatumikia kifungo cha aina gani? Soma tamthiliya hii ili upate majibu ya maswali hayo.< Less
MAISHA NI MAPAMBANO By elizabeth mahenge
Paperback: $6.00 (excl. taxes)
Ships in 3-5 business days
Tamthiliya hii iko katika upande wa harakati za mwanamke kujikomboa kutoka katika dhana hasi ambazo hujitokeza katika kazi za waandishi wengi wa kifasihi. Mapambano anayoyaonyesha Berinda ni yale ya... More > mfumo dume wa wanaume ambao wanadhani hakuna namna inayomwezesha mwanamke na mwanaume kuwa marafiki pasipo kuhusisha ngono. Mtazamo huu hasi unaonyeshwa na Dokta Martin ambaye anamtaka Berinda wafanye mapenzi kwa siri. Berinda anakishinda kikwazo hicho kutokana na ukombozi wa kielimu alioupata katika elimu yake ya chuo kikuu. Berinda anaipeleka jamii ya Kitanzania katika mfumo mpya wa maisha na ushirikiano wake wa kijinsia. Kitendo cha jinsia moja kuwa na ushirikiano na jinsia nyingine pasipo kuhusisha masuala ya ngono. Kwa utamaduni wa Mtanzania, jambo hili ni geni. Jamii imezoea kuona wanawake wanapokuwa na urafiki na wanaume – basi hakuna jambo lolote linaloweza kuendelea kati yao bila kuhusisha ngono! Usikose uhondo pamoja na huzuni iliyomo katika tamthiliya hii ya Maisha ni Mapambano.< Less