Search Results: 'Siasa'

Search

×
×
×
×
6 results for "Siasa"
CHANGAMOTO Insha za Jamii By Joseph Mbele
Paperback: $13.00
Prints in 3-5 business days
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa insha nilizoandika mwaka 2009 na kuzichapisha katika gazeti la KWANZA JAMII. Vile vile kuna mahojiano niliyofanyiwa na blogu ya Bongo Celebrity, mwaka 2008. Kwa ujumla,... More > yaliyomo ni mawazo kuhusu masuala mbali mbali ya uchumi, siasa, jamii, na utamaduni yanayoihusu Tanzania na dunia kwa ujumla,< Less
CHANGAMOTO Insha za Jamii By Joseph Mbele
eBook (PDF): $10.00
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa insha nilizochapisha katika gazeti la KWANZA JAMII mwaka 2009. Pia kuna mahojiano niliyofanya na blogu ya Bongo Celebrity, mwaka 2008. Kwa ujumla yaliyomo ni mawazo mbali... More > mbali ya uchumi, siasa, jamii na utamaduni yanayoihusu Tanzania na dunia kwa ujumla.< Less
Ujenzi wa Jamii Isiyokuwa na Mauaji By Glenn D. Paige
Paperback: $5.76
Prints in 3-5 business days
Kitabu hiki kimetolewa kwanza kwa ajili ya wataalamu wa siasa, wahadhiri na wanafunzi wa Vyuo Vikuu kwa uchambuzi zaidi na maoni. Leo, imani potofu kwamba mauaji ni jambo la kawaida kwa mwanadamu... More > inakubaliwa ulimwenguni kote licha ya umri na kiwango cha elimu cha mtu.Tunategemea kwamba wasomaji watajiunga na chama cha watu wanaohoji imani hiyo potofu na kuchangia kimawazo na pia kwa matendo kujenga misingi ya ulimwengu mpya usiyo na mauaji.< Less
Ujenzi wa Jamii Isiyokuwa na Mauaji By Glenn D. Paige
eBook (PDF): $0.00
Kitabu hiki kimetolewa kwanza kwa ajili ya wataalamu wa siasa, wahadhiri na wanafunzi wa Vyuo Vikuu kwa uchambuzi zaidi na maoni. Leo, imani potofu kwamba mauaji ni jambo la kawaida kwa mwanadamu... More > inakubaliwa ulimwenguni kote licha ya umri na kiwango cha elimu cha mtu.Tunategemea kwamba wasomaji watajiunga na chama cha watu wanaohoji imani hiyo potofu na kuchangia kimawazo na pia kwa matendo kujenga misingi ya ulimwengu mpya usiyo na mauaji.< Less
Pepo Nne: Diwani ya Malenga wa Mlima Meru By Mwiti -o- M'Marete
Paperback: $10.78
Prints in 3-5 business days
(1 Ratings)
“Pepo Nne” ni mkusanyiko wa mashairi 66 yaliyogawanywa katika vifungu vinne: Upepo wa Mapenzi, Vituko, Mafumbo na Maisha. Mithili pepo nne zivumazo angani, diwani hii ni mchanganyiko wa... More > hisia, matukio, wasia na ndoto za “Malenga wa Mlima Meru”. Zikutanapo, hatima yake ni uhondo wa mantiki uliokaangiwa mafuta ya ustadi wa sanaa na kutiwa viungo vya maadili, mafunzo, vichekesho na maswala yenye kusisimua bongo la msomaji. Diwani hii haikukusudiwa tu msomaji mwenye kutaka kukata kiu cha uraibu wa mashairi ya Kiswahili au hata kutafakari juu ya maisha -- hasa siasa, utu na dini. Vilevile, inaweza kutumiwa kufundishia mbinu za utunzi wa mashairi. Kigaroni pamekwama swala nyeti la umalenga wa karne tuliyomo, na wasomi na wapenzi wengine wa fasihi hii wametoa maoni yanayohitilafiana kuhusu ni mashairi yapi yaliyo na hadhi ya juu zaidi -- yenye kuungama sheria za jadi za mashairi - kama vile Pepo Nne - au yasiyozijali, yaani 'free verse' au, wayaitavyo wenye kuegemea ukae kama mwandishi wako, 'mashairi guni'?< Less
NDOTO ILIYOPOTEA By Laurent. J Noti
eBook (PDF): $8.99
Inapofika mahala watawala wakajisahau na kujiona kuwa Miungu watu ndipo tunaposhuhudia kushindwa na kuanguka kwa tawala na kukata tamaa kwa wananchi. Nani wa kuiokoa nchi hii? Nchi ambayo haitoi haki... More > wala kujali ustawi wa wananchi wake. Ni nchi ya Bondeni, moja ya nchi masikini katika bara la afrika yenye rasilimali tele zisizo na umuhimu kwa wananchi wake. Vijana hawafikii malengo yao huku wengi wakishindwa kuendelea kielimu. Watawala wanatumia dini na vyama vya siasa kuwagawa wananchi huku vitendo viovu vikishamiri siku hadi siku. Hakuna tumaini kwasababu hakuna mwenye uhakika wa kuiona kesho. Hakuna aliye huru kujieleza, jambo pekee la kufanya ili kuwa salama ni kuwa kimya na kufumba macho. Wananchi wanaishi katika woga huku wakitumaini kumpata mkombozi atakayekuwa tayari kujikana mwenyewe kwaajili yao.< Less