Search Results: 'Utamaduni'

Search

×
×
×
×
4 results for "Utamaduni"
CHANGAMOTO Insha za Jamii By Joseph Mbele
Paperback: $13.00
Prints in 3-5 business days
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa insha nilizoandika mwaka 2009 na kuzichapisha katika gazeti la KWANZA JAMII. Vile vile kuna mahojiano niliyofanyiwa na blogu ya Bongo Celebrity, mwaka 2008. Kwa ujumla,... More > yaliyomo ni mawazo kuhusu masuala mbali mbali ya uchumi, siasa, jamii, na utamaduni yanayoihusu Tanzania na dunia kwa ujumla,< Less
CHANGAMOTO Insha za Jamii By Joseph Mbele
eBook (PDF): $10.00
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa insha nilizochapisha katika gazeti la KWANZA JAMII mwaka 2009. Pia kuna mahojiano niliyofanya na blogu ya Bongo Celebrity, mwaka 2008. Kwa ujumla yaliyomo ni mawazo mbali... More > mbali ya uchumi, siasa, jamii na utamaduni yanayoihusu Tanzania na dunia kwa ujumla.< Less
KISWAHILI LUGHA NA FASIHI: SARAFU KWA YA PILI By elizabeth mahenge
Paperback: $2.34
Prints in 3-5 business days
Lugha ya Kiswahili imeundwa kwa isimu, yaani sayansi ya lugha na fasihi, yaani Sanaa ya lugha. Katika kitabu hiki, utajifunza kuhusu sayansi ya lugha - fonolojia, mofolojia, sintaksia na maana. Pia... More > inagusia fasihi ya Kiswahili kwa upande wa Sanaa, utamaduni, filamu, fasihi simulizi na fasihi andishi.< Less
MAISHA NI MAPAMBANO By elizabeth mahenge
Paperback: $6.00
Prints in 3-5 business days
Tamthiliya hii iko katika upande wa harakati za mwanamke kujikomboa kutoka katika dhana hasi ambazo hujitokeza katika kazi za waandishi wengi wa kifasihi. Mapambano anayoyaonyesha Berinda ni yale ya... More > mfumo dume wa wanaume ambao wanadhani hakuna namna inayomwezesha mwanamke na mwanaume kuwa marafiki pasipo kuhusisha ngono. Mtazamo huu hasi unaonyeshwa na Dokta Martin ambaye anamtaka Berinda wafanye mapenzi kwa siri. Berinda anakishinda kikwazo hicho kutokana na ukombozi wa kielimu alioupata katika elimu yake ya chuo kikuu. Berinda anaipeleka jamii ya Kitanzania katika mfumo mpya wa maisha na ushirikiano wake wa kijinsia. Kitendo cha jinsia moja kuwa na ushirikiano na jinsia nyingine pasipo kuhusisha masuala ya ngono. Kwa utamaduni wa Mtanzania, jambo hili ni geni. Jamii imezoea kuona wanawake wanapokuwa na urafiki na wanaume – basi hakuna jambo lolote linaloweza kuendelea kati yao bila kuhusisha ngono! Usikose uhondo pamoja na huzuni iliyomo katika tamthiliya hii ya Maisha ni Mapambano.< Less

Top 10

see more >
 
1
Giving Back Giving Back By James Jones & Jody Fuson
Paperback: $12.95
 
Age Verification Required
 
 
 
4
 
 
 
 
7
Birth Log Book Birth Log Book By Emily Rumsey
Paperback: $20.00