Search Results: 'Vitabu'

Search

×
×
×
×
4 results for "Vitabu"
CHANGAMOTO Insha za Jamii By Joseph Mbele
Paperback: $13.00
Ships in 3-5 business days.
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa insha nilizoandika mwaka 2009 na kuzichapisha katika gazeti la KWANZA JAMII. Vile vile kuna mahojiano niliyofanyiwa na blogu ya Bongo Celebrity, mwaka 2008. Kwa ujumla,... More > yaliyomo ni mawazo kuhusu masuala mbali mbali ya uchumi, siasa, jamii, na utamaduni yanayoihusu Tanzania na dunia kwa ujumla,< Less
Kanuni ya kwanza By CBM Hinton
Paperback: $7.58
Ships in 3-5 business days.
Kwanza Wakristadelphia huamini katika mambo yanayohusu Ufalme wa Mungu na yanayohusu Jina la Bwana Yesu Kristo. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa vitabu vingi vilivyowekwa pamoja ambavyo hapo mwanzo... More > ilikuwa ni idadi ya vitabu na kila kimoja kilikuwa peke yake. Vimeunganishwa pamoja ili kumwezesha msomaji kupata ufahamu mkubwa wa kanuni ya kwanza ya imani ya Wakristaelphia. Kitabu hiki hakielezei mambo yote tunayoyaamini,hata hivyo tunatumaini kuwa yale yaliyomo yatakuimalisha kuweza kuwa na nia ya kujiunga na kundi la waumini.Kwa hiyo kitabu hiki ni kazi ya waandishi wengi na watafsiri wengi ambao kwa wingi wao hatuwezi kutaja majina yao yote hapa. Licha ya kuwa kitabu hiki ni marudio kamili kabisa ya toleo jipya la vitabu vidogo ambavyo vimekwishapita kabla, kuna uwezekano kuna baadhi ya makosa ya herufi na makosa ya usanifu wa maneno katika kitabu. Hii ni kwa sababu kitabu hiki kimeandikwa na watu ambao walifundishwa elimu ya dini, lakini hakikuandikwa na watu ambao walipata elimu ya lugha ya kishwahili.< Less
Kanuni ya kwanza By CBM Hinton
eBook (PDF): $1.05
Download immediately.

RAIS WA TANGANYIKA MWALIMU J.K. NYERERE By Elizabeth Mahenge
Paperback: $14.48
Ships in 3-5 business days.
Hiki ni kitabu kinachosawiri historia ya nchi ya Tanzania kisanii. Historia hii inajumuisha vipindi vyote muhimu ikiwemo: harakati za kupigania uhuru; kupatikana uhuru; muungano; Azimio la Arusha; na... More > vita vya Kagera. Tamthiliya hii inatokana na kazi ya utafiti kuhusu mchango wa wanawake katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii. Wanawake walikuwa mstari wa mbele na wanaume walikuwa mstari wa nyuma isipokuwa Nyerere pekee na wanaume wachache ambao walimwelewa na kuungana naye katika harakati hizi. Wanaume wengi walikuwa wapinzani na hata kudiriki kutoa talaka kwa wake zao ambao walionekana kuwa mstari wa mbele katika kuchochea harakati za kudai uhuru. Kuna vitabu viwili ambavyo vimechangia kunipatia maarifa niliyoyawasilisha humu ndani vikiwemo kitabu cha Susan Geiger na kitabu cha Mtanzania Mpya; pamoja na utafiti binafsi na uzoefu wa mwandishi. Ungana na mtunzi wako ili uelimike! Elizabeth Mahenge ni mwandishi chipukiziambaye anajaribu kuwasilisha historia ya nchi yake kwa njia ya sanaa.< Less

Top 10

see more >
 
1
 
Age Verification Required