Chaukaange

Chaukaange

ByCharles Joseph Mloka

This ebook may not meet accessibility standards and may not be fully compatible with assistive technologies.
Mzee Cipilipili anafariki.Mkewe, Bi Sautina mwanawe Fumbo wananyanyaswa na ndugu wa mume kijinini kwao Mtanana. Wanafukuzwa katika nyumba ya urithi na kuishi maisha ya shida.Siku moja Fumbo anamnasa ndege mkubwa mtegoni. Hata hivyo, anamwonea huruma. Anamnasua. Wanalipwa fadhila kwa kupelekwa kwenye jumba la kifahari ughaibuni lililosheheni vyakula vingi. Huko pia anazaliwa kiumbe wa ajabu Chaukaange na kuwashangaza watu kwa vituko vyake

Details

Publication Date
Sep 24, 2019
Language
English
ISBN
9789976545425
Category
Fiction
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): Charles Joseph Mloka

Specifications

Format
EPUB

Ratings & Reviews