Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa

Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa

An Authentic Calling, Swahili Edition

ByDr. Don L. Davis

Usually printed in 3 - 5 business days
Katika warsha hii tutatafuta kuelewa, kutambua, na kukiri wito wa kibinafsi wa Mungu, tukichunguza mienendo ya wito huo tunapoangalia karama, mamlaka na fursa anazotoa. Tutajadili masuala na maswali kuhusiana na kuishi wito wa Mungu na kuchunguza athari za kufanya huduma katika kanisa mjini. Kozi hii ni nyenzo muhimu sana kwa wale wanaozingatia wito wa Mungu katika maisha yao na ya wengine! Mfululizo wa Kozi za Misingi ya Huduma ulitayarishwa kutokana na kozi teule zinazofundishwa katika seminari yetu, Hope School of Ministry. Mada na maarifa ya kozi hizi na zana hizi za kujifunzia ni ya msingi kwa huduma bora ya mijini, na bila shaka zitathibitika kuwa za thamani sana kwa yeyote anayetaka kuandaa viongozi katika makanisa ya mijini. Kozi zote za Misingi ya Huduma zimeundwa mahususi ili kuwasaidia viongozi kukua katika ujuzi wao wa Maandiko, theolojia, maisha ya Kikristo na huduma kwa vitendo.

Details

Publication Date
Jun 2, 2025
Language
Swahili
ISBN
9781629324326
Category
Religion & Spirituality
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): Dr. Don L. Davis

Specifications

Pages
172
Binding Type
Paperback Perfect Bound
Interior Color
Black & White
Dimensions
A4 (8.27 x 11.69 in / 210 x 297 mm)

Ratings & Reviews