Show Bookstore Categories

Wasifu wa Mndee

Byelizabeth mahenge

Usually printed in 3 - 5 business days
Kitabu hiki kinahusu wasifu wa mndele. Je Mndele huyu ni nani? Je wasifu wake una manufaa gani kwa vijana wa kike au wandele wenzake? Mbali na kuzungumzia maisha ya Mndele, pia kuna mhusika mwenza na Mndele, mhusika huyu ni Mzighwa. Mzighwa anapitia maisha yenye misukosuko mbalimbali ikiwemo kupata ujauzito wakati bado yuko masomoni. Lakini Mungu si Athumani, Mzighwa anahitimu masomo ya chuo kikuu kama ilivyo kwa Mndele na wote wanaanza maisha ya kifamilia. Soma riwaya hii ili ujue baadhi ya changamoto wanazokumbana nazo wasichana na mbinu au namna ya kukabiliana nazo. Kwa riwaya hii ni mwalimu kwa namna fulani.

Details

Publication Date
Mar 16, 2013
Language
Swahili
ISBN
9781300842606
Category
Education & Language
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): elizabeth mahenge

Specifications

Pages
70
Binding
Paperback
Interior Color
Black & White
Dimensions
US Letter (8.5 x 11 in / 216 x 279 mm)

Ratings & Reviews