KILIMO CHA  ZAO  LA  MAKADAMIA MWONGOZO WA MKULIMA

KILIMO CHA ZAO LA MAKADAMIA MWONGOZO WA MKULIMA

ByEmmanuel Itonye

This ebook may not meet accessibility standards and may not be fully compatible with assistive technologies.
Habari! Je, wewe ni Mkulima wa zao la makadamia? Mtafiti, Mwekezaji, au Mdau katika sekta ya kilimo? Basi, kitabu hiki ni mahususi kwa ajili yako, naitwa Emmanuel Itonye, Mtaalam wa mazao ya mboga na matunda (horticulture) kutoka Kilimanjaro Horticultural Consult, kupitia mradi wao wa “Makadamia Afrika-Maarifa Shirikishi” wamewezesha kuwafikia wadau katika zao la makadamia hapa Tanzania kupitia kitabu hiki. "Kilimo Cha Zao La Makadamia - Mwongozo wa Mkulima”, ni kitabu kinachojibu maswali mengi, ambayo wakulima hujiuliza, kitabu hiki kimeandikwa kwa muda wa miaka miwili na miezi saba, baada ya kufanya tafiti mahususi kwa ajili ya zao hili hapa Tanzania. Naamini kitakua ni kitabu chenye manufaa sana, katika kuendeleza na kukuza sekta ya zao la makadamia, Tanzania na kwingineko Afrika. Mimi naamini Kilimo ni Maarifa, Makadamia Afrika, Maarifa Shirikishi.

Details

Publication Date
May 23, 2024
Language
Swahili
Category
Home & Garden
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): Emmanuel Itonye

Specifications

Format
PDF

Ratings & Reviews