Chozi langu litafutwa lini ?

Chozi langu litafutwa lini ?

ByJane Davis Mwanizuwa Sabini

Usually printed in 3 - 5 business days
Riwaya hii inahusu unyanyasaji wa kijinsia, ndoa za utotoni, na ukatili katika jamii ya Kiafrika. Inaelezea kwa undani namna changamoto hizi zinavyoathiri maisha ya wasichana na wanawake. Mhusika mkuu ambaye ni msichana mdogo, anakabiliana na maisha ya dhuluma, ukosefu wa haki, na shinikizo la kuolewa akiwa bado mtoto, hali inayozuia maendeleo yake ya kielimu na ndoto zake. Katika riwaya hii, mhusika mkuu anaonyeshwa akikumbana na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wanaume wakubwa au hata watu wa karibu katika jamii, hali inayomuacha na makovu ya kimwili na kiakili. Pia, jamii inaonekana kushindwa kumsapoti, huku sheria na haki zikionekana kutotenda haki kwa wanawake na wasichana wanaokandamizwa. Riwaya hii inabainisha changamoto wanazopitia wasichana wanaolazimishwa kuolewa wakiwa watoto, mara nyingi kutokana na umaskini au mila potofu zinazoendelezwa kizazi baada ya kizazi. Athari za ndoa hizi zinaonekana katika afya yao, elimu, na uwezo wa kujikomboa kiuchumi na kiakili.

Details

Publication Date
Nov 15, 2024
Language
Swahili
ISBN
9781326832292
Category
Fiction
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): Jane Davis Mwanizuwa Sabini

Specifications

Pages
162
Binding Type
Paperback Perfect Bound
Interior Color
Black & White
Dimensions
A5 (5.83 x 8.27 in / 148 x 210 mm)

Ratings & Reviews