Clear all

Categories

Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba

Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba

ByKalisti Mjuni

Usually printed in 3 - 5 business days
“Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba”, ni kitabu kinachoeleza makosa ambayo tumekuwa tukiyafanya wakati wa kuomba yanayosababisha maombi yetu yasijibiwe na Mungu Baba. Pia, kinaeleza utofauti uliopo kati ya sala na maombi; na kina shuhuda za kweli za watu waliojibiwa maombi yao kwa kutumia mbinu ambazo Mungu Baba anataka tuzitumie wakati wa kuomba. Hakuna mtu asiyekuwa na mahitaji ya kumuomba Mungu katika maisha yake. Tunaweza kudhani kwamba: watu wenye mali nyingi, kazi nzuri, elimu kubwa, vyeo au nyadhifa fulani; hawana shida katika maisha yao. Lakini ukweli ni kwamba, kila mtu ana shida au matatizo ambayo amekuwa akimuomba Mungu amuepushe nayo. Swali la kujiuliza hapa ni kwamba: kwa nini maombi yetu yanachelewa kujibiwa au hayajibiwi kabisa na Mungu Baba? Majibu ya maswali hayo utayapata ndani ya kitabu hiki kupitia siri zilizojificha katika Maandiko Matakatifu.

Details

Publication Date
Mar 15, 2022
Language
Swahili
ISBN
9791092789171
Category
Religion & Spirituality
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): Kalisti Mjuni

Specifications

Pages
96
Binding Type
Paperback Perfect Bound
Interior Color
Black & White
Dimensions
A5 (5.83 x 8.27 in / 148 x 210 mm)

Ratings & Reviews