Show Bookstore Categories

Mahinda Matano

ByKimani wa Mbogo

Alikuwa mcheshi na mtoto aliyependa mbwembwe za kila aina. Mwalimu wake alimpenda na alijizatiti kuzibadilisha tabia zake zilizoathiri hali yake ya masomo. Mahinda Matano ni mtoto wa shule mtundu na aiyesikia la mwadhini wala la mteka maji msikitini. Anapokuwa darasani huwatumbuiza wanafunzi wenzake. Akiwa nyumbani hufanya vituko na sarakasi ambazo huwaudhi wazazi wake. Hadithi inakamilika Mahinda akiwa kilema, jambo ambalo linasababishwa na jitihada zake za kukaidi amri za wazazi. Mahinda Matano ni novela iliyoandikwa kwa ustadi kwa kutumia misamiati inayotumika na mwanafunzi wa shule ya msingi. Aidha ni hadithi yenye mafunzo kwa mwanafunzi na onyo dhidi ya kukaidi nasaha za wakuu. Mwandishi pia ametumia ushairi katika novela hiyo.

Details

Publication Date
Jan 6, 2018
Language
Swahili
ISBN
9780244959975
Category
Children's
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): Kimani wa Mbogo

Specifications

Format
EPUB

Ratings & Reviews