Show Bookstore Categories

NDOTO ILIYOPOTEA

ByLaurent. J Noti

Inapofika mahala watawala wakajisahau na kujiona kuwa Miungu watu ndipo tunaposhuhudia kushindwa na kuanguka kwa tawala na kukata tamaa kwa wananchi. Nani wa kuiokoa nchi hii? Nchi ambayo haitoi haki wala kujali ustawi wa wananchi wake. Ni nchi ya Bondeni, moja ya nchi masikini katika bara la afrika yenye rasilimali tele zisizo na umuhimu kwa wananchi wake. Vijana hawafikii malengo yao huku wengi wakishindwa kuendelea kielimu. Watawala wanatumia dini na vyama vya siasa kuwagawa wananchi huku vitendo viovu vikishamiri siku hadi siku. Hakuna tumaini kwasababu hakuna mwenye uhakika wa kuiona kesho. Hakuna aliye huru kujieleza, jambo pekee la kufanya ili kuwa salama ni kuwa kimya na kufumba macho. Wananchi wanaishi katika woga huku wakitumaini kumpata mkombozi atakayekuwa tayari kujikana mwenyewe kwaajili yao.

Details

Publication Date
Nov 26, 2013
Language
Swahili
ISBN
9781304659712
Category
Fiction
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): Laurent. J Noti

Specifications

Format
PDF

Ratings & Reviews