Njama
This ebook may not meet accessibility standards and may not be fully compatible with assistive technologies.
Riwaya ya Njama inaangazia jaribio la mauaji ya mtoto mlemavu wa ngozi, Lalah Thobias. Watekaji watano wakiongozwa na mfanyabiashara toka huko DRC Congo wanamteka mtoto Lalah kijijini Bassodawish na kumpeleka kijiji cha jirani kwaajili yakutekeleza kusudio lao ovu. Hata hivyo Lalah anafanikiwa kutoroka na watekaji kujikuta matatani. Nini kilijiri zaidi? Ungana na mwandishi katika riwaya hii ya kusisimua.
Details
- Publication Date
- Sep 7, 2018
- Language
- Swahili
- ISBN
- 9780359073870
- Category
- Fiction
- Copyright
- All Rights Reserved - Standard Copyright License
- Contributors
- By (author): Ngugi Mongo
Specifications
- Format
- EPUB