Teach Yourself Kiswahili

Teach Yourself Kiswahili

ByTanzania Educational Publishers Ltd

This ebook may not meet accessibility standards and may not be fully compatible with assistive technologies.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuwalenga watu wa ndani ya nchi na wageni wanaokijua Kiingereza vizuri, lakini, wana hamu/wanahitaji kujua Kiswahili. Lugha hii kwa sasa inazungumzwa na zaidi ya watu milioni 140 duniani. Lakini, hata watu wanaokijua Kiswahili, wanakihitaji kitabu hiki, ili, na wao waweze kuandika na kuzungumza Kiswahili sanifu. Kumbuka kwamba si kila mtu anayezungumza, anayeongea na kuandika Kiswahili, anajua lugha hii kwa ufasaha. Kitabu hiki kitawasaidia watu kuongea na kuandika Kiswahili fasaha. Aidha, kitabu hiki kitawaongezea msamiati wa Kingereza watu wanaojua Kiswahili, lakini, hawajui maneno mengi ya Kingereza. Makundi ya watu yaliyolengwa Walengwa wa kitabu hiki ni makundi ya watu yafuatayo: Watalii, wawekazeji wa kigeni na wafanyabiashara wanaotoka katika • nchi zisizozungumza Kiswahili. Wafanyakazi katika Balozi zilizo katika nchi zinazozungumza • Kiswahili. Walimu wa Shule za Awali na Msingi, wanafunzi wa Shule za • Sekondari na Wanavyuo.

Details

Publication Date
Aug 6, 2019
Language
Swahili
Category
Education & Language
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): Tanzania Educational Publishers Ltd

Specifications

Format
PDF

Ratings & Reviews