Mama ya George alikuwa ni menaja ya duka la nguo kwa hivyo wakati wake mingi alikuwa akisimama. Kushughulikia afya ya miguu yake itakuwa muhimu ili awaeze kufanya kazi yake. George alikuwa amejifunza kuhusu umuhimu wa afya ya miguu na jinsi ya kukata kucha za miguu ipasavyo hivi majuuzi lakini mama yake alikata kucha zake vibaya na sasa alikuwa akihisi uchungu kwa kucha. Uchungu ulikuwa unazidi kwa hivyo alikuwa anahitaje kupata suluhisho.
Details
- Publication Date
- Apr 23, 2022
- Language
- Swahili
- ISBN
- 9781435782921
- Category
- Children's
- Copyright
- All Rights Reserved - Standard Copyright License
- Contributors
- By (author): Trey Li
Specifications
- Pages
- 39
- Binding Type
- Paperback Perfect Bound
- Interior Color
- Color
- Dimensions
- US Trade (6 x 9 in / 152 x 229 mm)