Diwani ya Mashairi ya Mpita njia ni mkusanyiko wa mashairi anuai yenye kuibua hali na hisia mbalimbali kwa wasomaji kwa lengo la kujenga ufahamu na mtazamo mpya kwa hadhira. Malenga wa Diwani hii ametumia zaidi taswira mbalimbali zenye kumfanya hadhira kutafakari na kuibua hisia mbalimbali zitakazomuwezesha kuwa na mtazamo chanya katika maisha yake ya kila siku na kumfanya achukue hatua stahiki. Hii itamuwezesha hadhira kuwa ni mwanamapinduzi katika kila nyanja. Diwani hii imesheheni mashairi mbalimbali yenye kufundisha, kuburudisha, kuonya, kukosoa, kuhamasisha, kujenga jamii mpya, kufikirisha, kudadisi, kukemea na kuonesha njia ya kupita. Mashairi yake yamepangiliwa katika muundo tofauti na uliozoeleka ili kujipwekesha kishairi.
(The mpita Njia Poetry is a collection of various poems that evoke different situations and feelings for the readers with the aim of creating awareness and a new perspective for the audience. This poetry has mainly used various images that make the audience reflect and evoke mixed feelings that will enable him to have a positive attitude in their daily life and make them take appropriate action. This will allow the audience to be revolutionary in every aspect. This poetry is loaded with various poems that teach, entertain, warn, criticize, motivate, build a new society, think, inquire, reprimand, and show the way to pass. His poems are arranged in a different and usual structure to make them more poetic)
Details
- Publication Date
- Jun 2, 2023
- Language
- Swahili
- ISBN
- 9781312492127
- Category
- Poetry
- Copyright
- All Rights Reserved - Standard Copyright License
- Contributors
- By (author): Waziri Mapunda
Specifications
- Format