Agano Jipya

Agano Jipya

ParSteve Combs

Habituellement imprimé en 3-5 jours ouvrés
NEEMA YA MUNGU ni tafsiri ya Bibilia ya Kiswahili iliyofanywa na kanisa la “Grace Bible Baptist”. Kwa mwongozo wa Mungu, na kuwa na ufahamu ya kuwa Mungu amelihifadhi Neno lake kutoka kizazi kimoja hadi kingine na ya kuwa ni mapenzi yake kwamba Neno lake lisomwe na kueleweka na kila lugha, tumelitafsiri Neno la Mungu katika lugha ya Kiswahili. Lengo la tafsiri hii ni kuhifadhi maneno halisi ya Mungu katika Kiswahili. Tafsiri hii imefanywa kutoka kwa Maandishi ya Kiyunani almaarufu “Textus Receptus” na kutoka kwa Maandishi ya Kimasoreti; hili ni toleo la kwanza. Ikiwa utapata swala au hitilafu yoyote, tafadhali, tuandikie kupitia [email protected],na yataangaziwa katika toleo linalofuata.

Détails

Date de publication
Oct 22, 2025
Langue
Swahili
Catégorie
Religion & spiritualité
Copyright
Tous droits réservés - Licence de copyright standard
Contributeurs
Édité par: Steve Combs

Caractéristiques

Pages
344
Type de reliure
Livre à couverture souple Livre à couverture souple
Couleur de l’intérieur
Noir & Blanc
Dimensions
Roman (6 x 9 po / 152 x 229 mm)

Notes & Avis