
Tabasamu la kinyago ni riwaya ya kiutengano inayozungumzia hali halisi ya maisha ya watu katika bara la Afrika hususan katika nchi ya Tanzania.
Riwaya hii inagusia masuala ya uchumi, mapenzi na matumizi mabaya ya madaraka ambapo vitendo vya uonevu, usaliti, fitina na visasi vinaibuliwa kwa namna ya kusisimua.
Details
- Publication Date
- Nov 11, 2017
- Language
- Swahili
- ISBN
- 9781387361830
- Category
- Fiction
- Copyright
- All Rights Reserved - Standard Copyright License
- Contributors
- By (author): Nyakombe Samwel
Specifications
- Format