Kitabu cha KUPANDA kanisa

Kitabu cha KUPANDA kanisa

Church PLANT Manual, Swahili Edition

ByRev. Ted Smith

Usually printed in 3 - 5 business days
Tangu 2016, World Impact Imetayarisha na kufundisha mamia ya timu za wapanda Makanisa ili kutengeneza mkakati wenye muktadha wa kipekee wa huduma zao Kimataifa na ndani ya Marekani. Kitabu cha KUPANDA kanisa ni rasilimali ya matayarisho ya Shule ya Uinjilisti ya Upandaji makanisa mjini. Hii rasilimali iliyojengea kwenye kanuni imeandaliwa ili kusaidia timu za wapanda makanisa kuendeleza mpango Mkakati kwa ajili ya muktadha wao maalum na mahitaji, Iwe wanapanda kanisa jipya, kuandaa kupanda upya (Kuanza tena, Kulipatia uhai, au Kulizindua upya) Kanisa lililopo, Kutafuta mwendo wa kukirithisha kizazi kijacho cha Uongozi wa Kichungaji, au kubuni Vuguvugu la Upandaji makanisa.

Details

Publication Date
May 12, 2026
Language
Swahili
ISBN
9781629324869
Category
Religion & Spirituality
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
Edited by: Rev. Ted Smith

Specifications

Pages
152
Binding Type
Paperback Perfect Bound
Interior Color
Black & White
Dimensions
US Trade (6 x 9 in / 152 x 229 mm)

Ratings & Reviews