Show Bookstore Categories

JARIBU LA USHINDI

JARIBU LA USHINDI

ByGEOFREY DISMAS

Martin Okafor aliyetokea familia ya maisha ya chini, anafanikiwa kusoma na kumaliza elimu yake ya msingi, sekondari na hatimaye chuo. Anafanikiwa kupata kazi anafanya kwa bidii hadi mwajiri wake anaamua kumsaidia mtaji ili akatimize ndoto zake. Na hapo ndipo majaribu yanapoanzia. Karibu katika simulizi ya JARIBU LA USHINDI.

Details

Publication Date
Aug 7, 2022
Language
Swahili
Category
Fiction
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): GEOFREY DISMAS

Specifications

Format
PDF

Ratings & Reviews