NYAKATI
NIA NELSON
This ebook may not meet accessibility standards and may not be fully compatible with assistive technologies.
Kuna Nyakati zingine hali ngumu za maisha tunazopitia,si kwamba Allah Maanani alitupangia
tupite njia hiyo. Ni binadamu wenzetu kama sisi ututengeneza katika njia wanayopenda wao tupite.Kwa maslahi yao na wanayoyajua wao.
NIA NELSON ni binti mrembo,msomi na mwenye akili nyingi, aliyepitia changamoto nyingi katika ukuaji
wake,akajiapiza kusoma kwa bidii,apate kazi nzuri,salama na njema kwake.lakini wakati anawaza
hayo jamii nyingine asiyo itambua inaendesha maisha yake katika njia wanayotaka wao,tena pasipo yeye
mwenyewe kujua Na zinapofika nyakati haswa za kula matunda mema ya jasho lake, ndio jamhuri inamwambia juu ya WITO wake ,na inapaswa afuate na kutii wito huo ili jina lake liandikwe kwenye kitabu cha historia
Details
- Publication Date
- Apr 25, 2021
- Language
- Swahili
- ISBN
- 9781008972292
- Category
- Fiction
- Copyright
- All Rights Reserved - Standard Copyright License
- Contributors
- By (author): HESHIMA NICHOLAUS JOHN
Specifications
- Format