HASIRA NI HASARA: IGIZO

HASIRA NI HASARA: IGIZO

Sheria mkononi

ByMwanawetu Mmuni

This ebook may not meet accessibility standards and may not be fully compatible with assistive technologies.
This is a play shows four Hunters who shares what they earning! But something happen that cause them to be separeted. "Igizo hili linawaelezea wawindaji wanne waliokuwa wanashirikiana kufanya kazi pamoja na kila walichokipata waligawana sawa. walikuwa wanatumia vifaa vya kiasili kuwinda wanyama. waliishi katika kijiji kilichopo pembezoni mwa msitu mnene wenye miti mirefu ambao umkumbwa na uharibifu mkubwa wa mazingira. Wanyama mbalimbali baadhi yao ufanya usumbufu kwa wakulima pindi wanaposhambulia mazao yao! pia limejitokeza tatizo la wananchi kujichukulia sheria mkononi na kuwahukumu Raia wenzao wakiamini ni wakosaji; upelekea kuwadhuru watu wengine wasio na hatia. Ni jambo la kheri kutoa taarifa za matukio mabaya sehemu husika na kuviachia vyombo vya usalama ili kujiridhisha na kubaini mwalifu halisi.

Details

Publication Date
Jul 18, 2017
Language
Swahili
Category
Fiction
Copyright
All Rights Reserved - Standard Copyright License
Contributors
By (author): Mwanawetu Mmuni

Specifications

Format
EPUB

Keywords

Ratings & Reviews