NEEMA YA MUNGU ni tafsiri ya Bibilia ya Kiswahili iliyofanywa na kanisa
la “Grace Bible Baptist”. Kwa mwongozo wa Mungu, na kuwa na ufahamu
ya kuwa Mungu amelihifadhi Neno lake kutoka kizazi kimoja hadi kingine
na ya kuwa ni mapenzi yake kwamba Neno lake lisomwe na kueleweka na
kila lugha, tumelitafsiri Neno la Mungu katika lugha ya Kiswahili. Lengo la
tafsiri hii ni kuhifadhi maneno halisi ya Mungu katika Kiswahili. Tafsiri hii
imefanywa kutoka kwa Maandishi ya Kiyunani almaarufu “Textus Receptus”
na kutoka kwa Maandishi ya Kimasoreti; hili ni toleo la kwanza. Ikiwa
utapata swala au hitilafu yoyote, tafadhali, tuandikie kupitia [email protected],na yataangaziwa katika toleo linalofuata.
Details
- Publication Date
- Oct 22, 2025
- Language
- Swahili
- Category
- Religion & Spirituality
- Copyright
- All Rights Reserved - Standard Copyright License
- Contributors
- Edited by: Steve Combs
Specifications
- Pages
- 344
- Binding Type
- Paperback Perfect Bound
- Interior Color
- Black & White
- Dimensions
- US Trade (6 x 9 in / 152 x 229 mm)